Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume

Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume (IATA: ZNZICAO: HTZA) ni kiwanja cha ndege cha Jamhuri ya Watu wa Zanzibar nchini Tanzania. Ilijulikana pia kama Uwanja wa ndege wa Kisauni na Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Zanzibar.

Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume
IATA: ZNZICAO: HTZA
– WMO: 63870
Muhtasari
AinaMatumizi ya Umma
MmilikiSerikali ya Mapinduzi Zanzibar
OparetaMamlaka ya Viwanja vya Ndege Zanzibar
MahaliUnguja, Zanzibar
Kitovu chaZanair
Mwinuko 
Juu ya UB
54 ft / 16 m
Anwani ya kijiografia06°13′20″S 39°13′30″E / 6.22222°S 39.22500°E / -6.22222; 39.22500
Ramani
ZNZ is located in Tanzania
ZNZ
ZNZ
Mahali ya uwanja nchini Tanzania
Njia ya kutua na kuruka ndege
MwelekeoUrefuAina ya
barabara
mft
18/363,0079 865Lami
Takwimu (2005)
Idadi ya abiria418,814
Harakati za ndege14,302
Tani za mizigo566

Makampuni ya ndege na vifiko

Makampuni ya ndegeVifiko 
1TimeJohannesburg
Air UgandaEntebbe, Juba, Nairobi
BankairArusha, Dar es Salaam, Pemba
Coastal AviationDar es Salaam
CondorFrankfurt
Ethiopian AirlinesAddis Ababa
Fly540Mombasa, Nairobi
JetairflyBrussels, Mombasa
Kenya AirwaysNairobi
NeosMilan-Malpensa
Precision AirDar es Salaam, Mombasa, Nairobi
ZanAirArusha, Dar es Salaam, Pemba

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu: