Volcán Arenal

Volcán Arenal ni mlima wa volkeno nchini Kosta Rika katika Amerika ya Kati.

Mlima Volcán Arenal

Una kimo cha mita 1,657 juu ya UB na bado ni hai.

Tazama pia

Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika ya Kati bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Volcán Arenal kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.