Watu wazima

Watu wazima Kibiolojia linaweza kumaanisha watu wale walio hai, hasa wakiwa na afya njema, tofauti na wafu na wagonjwa. Lakini kwa kawaida linatumika kutofautisha wale waliofikisha umri au kuwa na uwezo wa kuzaa [1] na watoto.

Kundi la watu wazima.

Kwa kwenda mbali zaidi, maneno hayo yanatofautisha waliokomaa kiutu[2] na vijana pia ambao, ingawa wameshabalehe, hawana ukomavu ule unaohitajika kukabili majukumu yote katika jamii, hasa chini ya miaka 18[3].

Kwa msingi huo, sheria zinawapangia haki na wajibu kadiri ya nchi.

Kwa nchi kama Tanzania pengine utu uzima unahesabika kuanza miaka 40(Habari hii inatakiwa kuthibitishwa kwa kuonyesha vyanzo), wakati utoto ni kuanzia miaka 0 hadi 17 na ujana ni kuanzia miaka 18 mpaka miaka 40.

Tanbihi

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Watu wazima kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.