Yaba Angelosi

Yaba Angelosi ni mwimbaji, mwanamuziki wa mtayarishaji wa muziki anayeishi nchini Marekani. Alizaliwa katika Sudan Kusini akahamia pamoja na wazazi wake kwenda Marekani mwaka 2000.

Yaba Angelosi
Aina ya muzikiAfropop
Kazi yakeMwimbaji, Mtunzi, Mtayarishaji wa muziki
AlaSauti, Piano, Gitaa, Keyboards
StudioAssida Records
Tovutihttps://www.facebook.com/YabaAngelosiMusic

Ana studio yake ya Assida Records / Assida Productions inayosambaza rekodi zake.