Pelaji wa Konstanz
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Pelaji wa Konstanz (270 - 283) alikuwa mtoto Mkristo wa Emona, leo nchini Slovenia, aliyeuawa kwa sababu ya imani yake [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 28 Agosti[2].
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |