1752

mwaka

Makala hii inahusu mwaka 1752 BK (Baada ya Kristo).

1752 (MDCCLII) ulikuwa mwaka mrefu kuanzia Jumamosi ya kalenda ya Gregori na mwaka mrefu kuanzia Jumatano ya kalenda ya Julian, mwaka wa 1752 wa hesabu baada ya Kristo.

Katika Milki ya Uingereza, ulikuwa mwaka pekee wenye siku 355, kwani Septemba 3-13 ilirukwa wakati nchi ilipohamia kalenda ya Gregori.

Matukio

  • 6 Juni - Moto unateketeza sehemu za mji wa Moscow.
  • 15 Juni - Benjamin Franklin anathibitisha nadharia yake kwamba miale ya radi ni namna ya umeme kwa kupandisha tiara wakati wa mvua ya radi na hivyo kusababisha pigo la radi. Jaribio hilo lilikuwa msingi wa teknolojia ya kikingaradi.

Waliozaliwa

Mwaka 2024 katika kalenda nyingine
Kalenda ya Gregori2024
MMXXIV
Kalenda ya Kiyahudi5784 – 5785
Ab urbe condita (Roma ya Kale)2777
Kalenda ya Ethiopia2016 – 2017
Kalenda ya Kiarmenia1473
ԹՎ ՌՆՀԳ
Kalenda ya Kiislamu1446 – 1447
Kalenda ya Kiajemi1402 – 1403
Kalenda za Kihindu
- Vikram Samvat2079 – 2080
- Shaka Samvat1946 – 1947
- Kali Yuga5125 – 5126
Kalenda ya Kichina4720 – 4721
癸卯 – 甲辰

Waliofariki

Wikimedia Commons ina media kuhusu: