Abaskhiron

Abaskhiron (Qallin, Misri, karne ya 3 - Asyut, Misri, karne ya 3) alikuwa askari Mkristo aliyefia imani yake ya dini.

Monasteri ya Mt. Abrahamu.

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 14 Juni.

Tazama pia

Tanbihi

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.