Akwilino wa Evreux

Akwilino wa Evreux (Bayeux, Ufaransa, 620 hivi - Evreux, Ufaransa, 695 hivi) alikuwa askofu wa mji huo maarufu kwa maadili yake[1].

Sanamu yake.

Kabla ya hapo alikuwa askari, akaoa, ila baadaye alikubaliana na mke wake kuishi kitawa na kusaidia maskini[2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kati ya watakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 19 Oktoba[3].

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.