Albert Einstein

Albert Einstein (14 Machi 187918 Aprili 1955) alikuwa mwanafizikia mwenye asili ya Kiyahudi kutoka nchi ya Ujerumani.

Albert Einstein alivyopigwa picha na Oren Turner, 1947.

Hasa anajulikana kwa nadharia ya uhusianifu.

Mwaka 1921 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Mwaka 1933 alipoona kuwa Hitler aliteka utawala nchini Ujerumani, aliamua kubaki Marekani alipokuwa amekwenda, na hatimaye alipata uraia wa huko mwaka 1940.

Maandishi yake ya kisayansi

Tanbihi

Marejeo mengine

Viungo vya nje


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Albert Einstein kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.