Amalberga wa Maubeuge

Amalberga wa Maubeuge (pia: Amalia au Amelia wa Lobbes au Binche; Brabant, leo nchini Ubelgiji, karne ya 7; Maubeuge, leo nchini Ufaransa, 690 hivi) alikuwa mwanamke wa ukoo wa kifalme ambaye, baada ya kuolewa na kuzaa watoto watano, alipobaki mjane alijiunga na monasteri[1].

Mt. Amalberga katika dirisha la kioo cha rangi.

Tangu kale yeye na watoto wanne kati ya hao wanaheshimiwa kama watakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 10 Julai[2].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.