Amritsar

Amritsar ni jiji la Jimbo la Punjab nchini Uhindi lenye wakazi milioni 1.1 (2011). Ni mji mkubwa wa thelathini na sita nchini Uhindi.

Tazama pia

Tanbihi

Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Amritsar kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.