Andrea na askari wenzake

Andrea na askari wenzake 2593 (walifariki kwenye milima ya Tauro, leo nchini Uturuki, 300 hivi) walikuwa Wakristo wachanga katika imani yao[1] waliouawa na jeshi la Dola la Roma.

Picha takatifu ya Mt. Andrea Stratelates.

Andrea, kamanda wao, alitokea Syria.

Hao wote walianza kuheshimiwa mapema kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 19 Agosti[2].

Tazama pia

Tanbihi

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.