Anisi wa Thesalonike

Anisi wa Thesalonike (alifariki 406 hivi) alikuwa askofu wa mji huo kaskazini mwa Ugiriki kuanzia mwaka 383[1].

Alitetea imani sahihi kuhusu umungu wa Yesu Kristo na ubikira wa kudumu wa Bikira Maria[2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 30 Desemba[3].

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.