Anita Blaze

Anita Blaze (alizaliwa Oktoba 29, 1991) ni mpiganaji wa kitara wa mkono wa kulia kutoka nchini Ufaransa aliyeshiriki kwenye michezo ya Olimpiki mara mbili, na mshindi wa medali ya fedha katika timu ya nchi yake[1]

Anita Blaze
Anita Blaze

Maisha ya kazi

Alishinda medali ya fedha ya timu mnamo mwaka 2008 kwenye michuano ya Ulaya mjini Rovigo na alishinda medali ya fedha peke yake mnamo 2010 kwenye michuano ya dunia ya vijana katika Baku.[2]

Marejeo