Antusa wa Eskihisar

Antusa wa Eskihisar (pia: wa Mantinea; karne ya 7Konstantinopoli, leo nchini Uturuki, 759) alikuwa mkaapweke mlimani[1], halafu abesi wa monasteri aliyoianzisha kwa wamonaki wanawake[2][3], wakati ile aliyoianzisha kwa wanaume iliongozwa na mtoto wa ndugu yake.

Aliteswa na kupelekwa uhamishoni kwa kumpinga kaisari Konstantino V aliyekataza picha takatifu[4][5].

Tangu zamani anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu bikira.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 27 Julai[6].

Tazama pia

Tanbihi

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.