Artemi na Paulina

Artemi na Paulina ni Wakristo waliouawa mwaka 304 kwa ajili ya imani yao mjini Roma[1].

Wat. Artemi na Paulina mbele ya Wat. Marselino na Petro katika mchoro mdogo wa karne ya 15.

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 6 Juni[2].

Tazama pia

Tanbihi

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.