Ausenti abati

Ausenti abati (Syria[1], karne ya 5 - Mlima Skopa[2], Bitinia, leo nchini Uturuki, 14 Februari 473) alikuwa askari mlinzi wa kaisari Theodosi II aliyekwenda kuishi kama mkaapweke akawa abati aliyetetea imani sahihi ya mtaguso wa Kalsedonia[3].

Mchoro mdogo wa Mt. Ausenti wa Bitinia.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 14 Februari[4].

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.