Avertino

Avertino (pia: Iverzin; alifariki 1189) alikuwa shemasi mkaapweke karibu na Tours, Ufaransa.

Sanamu ya Mt. Avertino huko huko Crach.

Rafiki wa Thomas Becket, alimsindikiza uhamishoni (1164), na baada ya kifodini chake (1170), alirudi Ufaransa kuishi upwekeni hadi alipofariki[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu[2][3].

Sikukuu yake ni tarehe 5 Mei[4].

Tazama pia

Tanbihi

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.