Banana Yaya
Mchezaji wa soka wa Kamerun
Banana Yaya (alizaliwa 29 Julai 1991) ni mchezaji wa soka wa Kamerun ambaye anacheza kama beki wa kati katika klabu ya Panionios kwa mkopo kutoka Olympiacos.
Banana Yaya
Jinsia | mume |
---|---|
Nchi ya uraia | Kamerun |
Nchi anayoitumikia | Kamerun |
Jina halisi | Yaya |
Tarehe ya kuzaliwa | 29 Julai 1991, 9 Julai 1991 |
Mahali alipozaliwa | Maroua |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | centre-back |
Muda wa kazi | 2009 |
Mchezo | Mpira wa miguu |
Namba ya Mchezaji | 3 |
Ameshiriki | 2019 Africa Cup of Nations |
Kazi ya kimataifa
Yaya alicheza kwa mara ya kwanza Cameroon katika mechi ya kirafiki dhidi ya Thailand mwezi Machi 2015.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Banana Yaya kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoShairiJumuiya ya Afrika MasharikiUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaFasihi simuliziNembo ya TanzaniaMshororoMikoa ya TanzaniaVivumishiOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoPentekosteAina za manenoTanzaniaKamusi za KiswahiliMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaOrodha ya makabila ya TanzaniaAfrika Mashariki 1800-1845Orodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUpendo Furaha PenezaMafurikoMisimu (lugha)KumaKisaweSentensiDiamond PlatnumzKamusi ya Kiswahili sanifuKamusiMisemoMaudhuiSimba S.C.Ukwapi na utaoTanganyikaOrodha ya Watakatifu WakristoNgeliLahaja za KiswahiliMaumivu ya kiunoRoho MtakatifuNomino