Barbara wa Nikomedia

Barbara (kwa Kigiriki: Βαρβάρα) alikuwa mwanamke Mkristo wa Ugiriki wa Kale[1][2] anayesemekana kuwa alikatwa kichwa na baba yake kwa sababu ya imani yake.

Mt. Barbara alivyochorwa mwaka 1447, National Museum in Warsaw, Poland.

Anaheshimiwa na madhehebu mengi ya Ukristo kama mtakatifu bikira mfiadini[3].

Sikukuu yake inaadhimishwa tarehe 4 Desemba[4].

Picha

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.