Basila wa Srijem

Basila wa Srijem (alifariki Sirmium, leo nchini Korasya) alikuwa mwanamke Mkristo ambaye tangu zamani anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu, pengine bikira, pengine mfiadini pia[1].

Sikukuu yake inaadhimishwa tarehe 29 Agosti[2].

Tazama pia

Tanbihi

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.