Basili wa Ostrog

Basili wa Ostrog (kwa Kiserbokroatia Vasilije Ostroški/Василије Острошки; jina la awali Stojan Petrović Stojanović Jovanović; 28 Desemba 16101671) alikuwa askofu wa Kanisa la Kiorthodoksi la Serbia kwa jimbo la Zahumlje na Herzegovina.

Picha takatifu ya Mt. Basili.

Anaheshimiwa na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Tazama pia

Tanbihi

Vyanzo

Viungo vya nje

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.