Bomet

Bomet ni mji mkuu wa kaunti ya Bomet nchini Kenya katika Bonde la Ufa la Afrika Mashariki.

Barabara ya Narok-Bomet katika Mji wa Bomet


Bomet
KauntiBomet
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 110,963

Wakazi walikuwa 110,963 wakati wa sensa ya mwaka 2009[1].

Tanbihi