Brian May
Brian Harold May (amezaliwa 19 Julai 1947) ni mwanamuziki na mwanaastrofizikia kutoka Uingereza. Pamoja na Freddie Mercury, Roger Taylor na John Deacon aliumba bendi ya Queen mwaka 1970.
Anacharaza gitaa, na aliandika nyimbo nyingi maarafu kwa Queen, kwa sababu "We Will Rock You", "Who Wants to Live Forever", "Hammer to Fall", "Fat Bottemd Girls" na "I Want It All". May amefanya pia albamu bila Queen.
Albamu
- Star Fleet Project (1983)
- Back to the Light (1992)
- Another World (1998)
- Furia (2000)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Brian May kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz