Freddie Mercury
Freddie Mercury (5 Septemba 1946 – 24 Novemba 1991) alikuwa mwimbaji wa bendi ya Queen, ambayo inapiga muziki wa rock. Freddie Mercury alizaliwa mjini Zanzibar katika familia ya Waparsi yenye asili ya Uhindi, lakini yeye na familia yake walihamia Uingereza baada ya mapinduzi ya Zanzibar alipokuwa bwana mdogo. Yeye, Brian May, Roger Taylor na John Deacon waliumba Queen mwaka 1970. Kwa Queen aliandika nyimbo zingi maarafu, kama "Bohemian Rhapsody", "Killer Queen", "Somebody to Love", "Don't Stop Me Now", "Crazy Little Thing Called Love" na "We Are the Champions".
Mercury alifanya pia albamu bila Queen. Alifanya Mr. Bad Guy pekee, na Barcelona pamoja na Montserrat Caballé.
Viungo vya nje
- Freddie Mercury's complex relationship with Zanzibar, taarifa ya BBC ya 22/10/2018, iliangaliwa Oktoba 2018
Albamu
- Mr. Bad Guy (1985)
- Barcelona (pamoja na Montserrat Caballé) (1988)
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz