Busia, Kenya

Busia ni mji wa Kenya Magharibi, makao makuu ya kaunti ya Busia[1].

Ramani ya Busia


Busia
Busia is located in Kenya
Busia
Busia

Mahali pa mji wa Busia katika Kenya

Majiranukta: 0°27′50″N 34°06′08″E / 0.46389°N 34.10222°E / 0.46389; 34.10222
NchiKenya
KauntiBusia
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 51,981

Kadiri ya sensa ya mwaka 2009, mji ulikuwa na wakazi 51,981, na hivyo kuwa mkubwa kuliko yote ya kaunti[2].

Tazama pia

Tanbihi