Dasio wa Silistra

Dasio wa Silistra (alifariki Silistra, Mesia, leo nchini Bulgaria, 20 Novemba 303) alikuwa askari Mkristo wa Durostoro aliyekatwa kichwa kwa ajili ya imani yake katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano [1].

Mchoro mdogo wa kifodini chake.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini[2].

Sikukuu yake ni tarehe 20 Novemba[3].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

  • Renate Pillinger (ed., trans.), Das Martyrium des Heiligen Dasius, Vienna (1988), ISBN|978-3-7001-1514-4.
  • Valentina Drumeva,Разкази за българските светии и за светиите, свързани с България ("Stories of Bulgarian saints and of saints associated with Bulgaria"), part I, Zograf Monastery, 2005.
  • I. Duychev, G. Tsankova-Petkova et al., Гръцки извори за българската история (ГИБИ, "Greek sources for Bulgarian history") vol. 3, Bulgarian Academy of Sciences, Sofia 1960.

Viungo vya nje

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.