David James Thouless
David James Thouless (amezaliwa 21 Septemba, 1934) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa aligundua m. Mwaka wa 2016, pamoja na Frederick Duncan Michael Haldane na John Michael Kosterlitz, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia. Alipewa tuzo kwa utafiti wake wa kinadharia katika maelezo ya tabia za mata katika hali karibu na sifuri halisi (ing. "for theoretical discoveries of topological phase transitions and topological phases of matter")[1][2][3].
Marejeo
Viungo vya Nje
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu David James Thouless kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz