21 Septemba

tarehe
Ago - Septemba - Okt
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
2930
Kalenda ya Gregori

Tarehe 21 Septemba ni siku ya 264 ya mwaka (ya 265 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 101.

Matukio

Waliozaliwa

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sikukuu ya Mtume Mathayo, na kumbukumbu za watakatifu nabii Yona, Kwadrato wa Athens, Pamfili wa Roma, Aleksanda wa Roma, Eusebi, Nestabo na wenzao, Fransisko Jaccard, Thomas Tran Van Thien, Laurenti Imbert, Petro Maubant, Yakobo Chastan n.k.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 21 Septemba kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.