Donasiani wa Reims

Donasiani wa Reims (alifariki 389) alikuwa askofu wa 7 au wa 8 wa mji huo nchini Ufaransa[1][2][3].

Mt. Donasiani katika mchoro wa Jan van Eyck Bikira na Mtoto Yesu pamoja na kanoni van der Paele (1436).

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu[4].

Sikukuu yake ni tarehe 14 Oktoba[5].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

  • Filippo Caraffa e Giuseppe Morelli (curr.), Bibliotheca Sanctorum (BSS), 12 voll., Istituto Giovanni XXIII nella Pontificia Università Lateranense, Roma 1961-1969.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.