Dositeo wa Gaza

Dositeo wa Gaza (alifariki 530 hivi) alikuwa mmonaki karibu na Gaza, Palestina, ingawa labda alitokea Misri.

Alifariki bado kijana kutokana na ugumu wa maisha aliyoyashika chini ya Dorotheo wa Gaza[1].

Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 19 Februari au 23 Februari[2].

Tazama pia

Tazama pia

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.