Drostano
Drostano ([pia: Drostan, Drustan, Dustan, Tristan na Throstan; karne ya 6 - karne ya 7) alikuwa mmonaki wa Uskoti, mwanafunzi wa Kolumba wa Iona[1]. Alianzisha na kuongoza monasteri mbalimbali nchini, pamoja na kuinjilisha sehemu za Aberdeen, akamalizia maisha yake upwekeni[2][3][4].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
- "St. Drostan", The Oxford Dictionary of Saints; ed. David Hugh Farmer; Oxford: Oxford University Press, 1987.
Viungo vya nje
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz