Elsavado
(Elekezwa kutoka El Salvador)
Elsavado ni nchi ndogo kuliko zote za Amerika ya Kati, lakini yenye msongamano mkubwa zaidi, ikiwa na wakazi 6,290,420 katika km2 21,040.
Elsavado |
---|
Jina
Jina la nchi kwa Kihispania linamaanisha "Mwokozi" kwa heshima ya Yesu Kristo, ambaye wananchi wengi ni wafuasi wake katika Kanisa Katoliki (47%) au katika madhehebu mbalimbali ya Uprotestanti (33%).
Watu
Wananchi wengi ni machotara Wazungu-Waindio (86%) au Wazungu (12%) na wanazungumza Kihispania, ambacho ndicho lugha rasmi na ya kawaida.
Tazama pia
Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika ya Kati bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Elsavado kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz