Eleuteri wa Auxerre

Eleuteri wa Auxerre (alifariki 550/560) alikuwa askofu wa 15[1] wa Auxerre katika Ufaransa wa leo[2].

Aliongoza jimbo hilo kwa zaidi ya miaka 28[3] na kushiriki mitaguso minne iliyofanyika Orleans miaka 533-549[4].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 26 Agosti[5][6][7].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.