Eligius wa Noyon

Eligius wa Noyon (kwa Kifaransa: Éloi; Chaptelat, Aquitaine, 588 hivi – Noyon, 1 Desemba 660) alikuwa sonara halafu mshauri mkuu wa mfalme wa Ufaransa Dagobert I.

Mt. Eliji alivyochorwa mwaka 1508.
Saini ya Mt. Eligius.

Miaka mitatu baada ya kifo cha mfalme huyo, alichaguliwa kuwa askofu wa Noyon-Tournai (642). Hapo kwa miaka ishirini alijitahidi kufanya wakazi Wapagani wa Flandria waongokee Ukristo[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi[2] kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Desemba[3].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

  • Audoeno, Vita Eligii in Monumenta Germaniae Historica, Scriptores rerum Merovingicarum, IV, 2, 635 seq., Ed. Bruno Krusch, Hannover, 1902.
  • Peter Berghaus, Knut Schäferdiek, Hayo Vierck: Eligius von Noyon. In: Reallexikon der Germanischen Altertumskunde (RGA). 2ª edizione, vol. 7, Walter de Gruyter, Berlin/New York 1989, pp. 145–159. ISBN 3-11-011445-3.

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.