Emeteri na Seledoni

Emeteri na Seledoni (walifariki Calahorra, Hispania, 298 hivi) walikuwa askari waliouawa kwa ajili ya imani ya Kikristo mwanzoni mwa dhuluma mpya[1].

Sanamu ya Mt. Emeterio mbele ya kanisa kuu la Santo Domingo de la Calzada.
Sanamu ya Mt. Seledoni mbele ya kanisa kuu la Santo Domingo de la Calzada.

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 3 Machi[2].

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.