Emma wa Lesum
Emma wa Lesum (au Hemma au Imma wa Stiepel au wa Ludger; 975-980 – 3 Desemba 1038) alikuwa mwanamke wa ukoo Immedinger, uliotawala kaskazini mwa Ujerumani. Aliolewa na kuzaa mtoto mmoja, halafu akafiwa mumewe.
Kutokana na matendo yake mema, tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake au tarehe 17 Aprili.
Tazama pia
Tanbihi
Vyanzo
- Schwarzwälder, Herbert, 2003: Das Große Bremen-Lexikon. Edition Temmen. ISBN 3-86108-693-X
Viungo vya nje
- (Kijerumani) Heiligenlexikon
- (Kijerumani) Kirchensite.de
- (Kijerumani) Bremen Town Park
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz