Eneo bunge la Bondo


Eneo bunge la Bondo ni jina la mojawapo ya Jimbo la Uchaguzi nchini Kenya. Ni moja katiya majimbo sita yanayopatikana katika Kaunti ya Siaya.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Wabunge

UchaguziMbunge [1]ChamaVidokezo
1963Oginga OdingaKPU / KANU
1966Oginga OdingaKPU
1969William Odongo OmamoKANUMfumo wa Chama Kimoja
1974John Hezekiah OugoKANUMfumo wa Chama Kimoja
1979John Hezekiah OugoKANUMfumo wa Chama Kimoja
1980William Odongo OmamoKANUUchaguzi Mdogo. Mfumo wa Chama Kimoja
1983William Odongo OmamoKANUOne-party system.
1988Gilbert Paul OluochKANUMfumo wa Chama Kimoja
1992Oginga OdingaFord-KenyaOdinga aliaga wakati akihudumu
1995Oburu OdingaNDPUchaguzi Mdogo
1997Oburu OdingaNDP
2002Oburu OdingaNARC
2007Oburu OdingaODM

Wodi

Wodi
WodiWapiga Kura
Waliojiandikisha
Utawakla wa Mtaa
Ajigo2,160Bondo (Mji)
Bar kowino East1,773Bondo (Mji)
Bar kowino West1,010Bondo (Mji)
Bondo town3,640Bondo (Mji)
Maranda West3,416Bondo county
North Sakwa3,258Bondo county
Nyang'oma13,420Bondo county
Nyawita2,783Bondo (Mji)
Usigu East6,021Bondo county
Usigu West10,521Bondo county
Jumla48,002
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

Marejeo