Ermili na Stratoni

Ermili na Stratoni (kwa Kigiriki: ῞Ερμυλος na Στρατόνικος, kwa Kiserbia: Свети мученици, Eрмил и Cтратонjк бэлгрaдски; walifariki Singidunum, leo Belgrade, nchini Serbia, 303) walikuwa Wakristo waliofia dini yao chini ya kaisari Lisini kwa kuzamishwa katika mto Danube baada ya kuteswa vikali[1]. Ermili alikuwa shemasi.

Picha takatifu ya kifodini chao.

Tangu kale wanaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 13 Januari[2][3].

Tazama pia

Tanbihi

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.