Eugeni wa Toledo

Eugeni wa Toledo (alifariki Toledo, Hispania, 13 Novemba 657) alikuwa shemasi mkuu, halafu mmonaki na hatimaye askofu mkuu wa Toledo kuanzia mwaka 647[1][2].

Mt. Eugeni akihubiri.

Alijitahidi kuboresha liturujia ya Toledo upande wa nyimbo[3]. Pia aliandika mashairi na mengineyo[4].

Tangu zamani anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe ya kifo chake[5].

Tazama pia

Tanbihi

Vyanzo

  • Jacques Sirmond, Opera (Venice, 1728), II, 610;
  • Patrologia Latina, LXXXVII, 347-418;
  • Ferrara, History of Spain, ad ann. 647-658;
  • Gams, Kirchengesch. Spaniens (1874), II, 2, 132-35;
  • Michaud, Biog. Univ. (Paris, 1826).

Viungo vya nje

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.