Eusebi wa Kaisarea

Eusebi wa Kaisarea (kwa Kigiriki: Εὐσέβιος τῆς Καισαρείας, Eusébios tés Kaisareías; 260/265 hivi – 339/340) alikuwa askofu wa mji huo wa Israeli tangu mwaka 314 na mwanahistoria maarufu kwa ujuzi wake mpana sana[3].

Mchoro mdogo wa Mt. Eusebi kutoka Ethiopia[1][2]

Alikuwa mshauri wa kaisari Konstantino Mkuu akaandika habari za maisha yake. Aliandika pia kuhusu Biblia na ufafanuzi wake[4].

Anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki wa Misri[5] na Ethiopia[6][7] kama mtakatifu.

Maandishi

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Marejeo mengine

Viungo vya nje

Vyanzo vikuu
Vyanzo vingine
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.