Farakano la Kanisa la Magharibi
(Elekezwa kutoka Farakano la magharibi)
Farakano la Kanisa la Magharibi lilitokea ndani ya Kanisa Katoliki katika miaka 1378-1418.
Makardinali wenye jukumu la kumchagua Papa walichagua wawili, mmoja baada ya mwingine, na hivyo kusababisha isieleweke yupi ana haki ya kuongoza.
Siasa ilijiingiza na kudumisha fujo kubwa, ingawa si kuhusu mafundisho ya imani, mpaka Mtaguso wa Konstanz (1414–1418) ulipotoa suluhisho.
Hata hivyo ilibaki athari mbaya juu ya mamlaka ya Mapapa waliofuata.
Tanbihi
Marejeo
- The Three Popes: An Account of the Great Schism, by Marzieh Gail.
- The Great Schism: 1378, by John Holland Smith (New York 1970).
- The Origins of the Great Schism: A study in fourteenth century ecclesiastical history, by Walter Ullmann (Hamden, Conn: Archon Books, 1967 (rev. of 1948 original publication)).
Viungo vya nje
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Farakano la Kanisa la Magharibi kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoShairiJumuiya ya Afrika MasharikiUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaFasihi simuliziNembo ya TanzaniaMshororoMikoa ya TanzaniaVivumishiOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoPentekosteAina za manenoTanzaniaKamusi za KiswahiliMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaOrodha ya makabila ya TanzaniaAfrika Mashariki 1800-1845Orodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUpendo Furaha PenezaMafurikoMisimu (lugha)KumaKisaweSentensiDiamond PlatnumzKamusi ya Kiswahili sanifuKamusiMisemoMaudhuiSimba S.C.Ukwapi na utaoTanganyikaOrodha ya Watakatifu WakristoNgeliLahaja za KiswahiliMaumivu ya kiunoRoho MtakatifuNomino