Gibriani

Gibriani (pia: Gibrien, Gibrian, Gybrian, Gobrian, Gibrianus; Ireland, karne ya 5 - Chalôns-sur-Marne, Ufaransa, 509) alikuwa padri wa Ukristo wa Kiselti aliyehama nchi yake kwa ajili ya Yesu akaishi Ufaransa hadi kifo chake[1][2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 8 Mei[3].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.