HIStory: Past, Present and Future, Book I
HIStory: Past, Present and Future, Book I (kikawaida hufupishwa HIStory) ni albamu mbili za Michael Jackson, zilizotolewa mnamo tar. 20 Juni 1995, na ni albamu ya tisa ya Jackson. CD ya kwanza, iliitwa "HIStory Begins" ambayo imekusanya vibao vyake vikali vya miaka kumi na tano iliyopita, wakati ya pili, iliitwa "HIStory Continues" imekuja na nyimbo mpya, moja wapo ni "Come Together", ambayo ilirekodiwa mwaka wa 1987.
HIStory: Past, Present and Future, Book I | |||||
---|---|---|---|---|---|
Studio album / compilation album ya Michael Jackson | |||||
Imetolewa | 20 Juni 1995 | ||||
Imerekodiwa | 1978–1995 | ||||
Aina | R&B, dance, dance-pop, urban, Pop rock, new jack swing, funk[1] | ||||
Urefu | 148:45 | ||||
Lebo | Epic EK-59000 | ||||
Mtayarishaji | Michael Jackson, James Harris, Janet Jackson, Terry Lewis, Dallas Austin, David Foster, Bill Bottrell, R. Kelly, Teddy Riley | ||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||
Wendo wa albamu za Michael Jackson | |||||
| |||||
Single za kutoka katika albamu ya HIStory | |||||
|
HIStory imetajwa kuwa ni toleo la albamu-mbili-mbili lililoza vizuri kuliko zote, ikiwa na hesabu ya mauzo ya nakala milioni 20 kwa hesabu ya dunia nzima (na milioni 40 kwa hesabu ya moja-moja). Albamu pia imeshinda tuzo moja ya Grammy kwa ajili ya video ya — "Scream."CD ya kwanza ya vibao vyake vikali ilitolewa mnamo mwaka wa 2001 ikiwa kama CD moja na ilikwenda kwa jina la Greatest Hits: HIStory, Vol. 1.
Historia
Chati zake na matunukio
Chati[2] | Nafasi Iliyoshika | Matunukio | Mauzo/Nchi za nje |
---|---|---|---|
Argentina | Platinum[3] | 200,000[3] | |
Australia | 1 | 7× platinum[4] | 490,000[5] |
Austria | 2 | 2× platinum[6] | 80,000[7] |
Belgium | 1 | ||
Canada | 5× platinum[8] | 500,000[9] | |
Europe | 6× platinum[10] | 6 million[11] | |
Finland | 3 | Platinum[12] | 61,352[12] |
France | 1 | Diamond[13] | 1 million[13] |
Germany[14] | 1 | 3× platinum[15] | 1.5 million[16] |
Netherlands | 1 | 3× platinum[17] | 240,000[7] |
New Zealand | 1 | 10× platinum | 150,000 |
Norway | 1 | Platinum[18] | 40,000[7] |
Sweden | 3 | Platinum[19] | 60,000[7] |
Switzerland | 1 | 3× platinum[20] | 150,000[20] |
United Kingdom[21] | 1 | 4× platinum[22] | 1.2 million |
United States[23] | 1 | 7× platinum[24] | 3.5 million |
Orodha ya nyimbo
HIStory Begins (Disc 1)
Nyimbo zote zimetungwa na Michael Jackson, kasoro zile zilizowekwa maelezo;
- Billie Jean - 4:54
- The Way You Make Me Feel - 4:57
- Black or White (Jackson/Bill Bottrell) - 4:15
- Rock with You (Rod Temperton) - 3:40
- She's out of My Life (Tom Bahler) - 3:38
- Bad - 4:07
- I Just Can't Stop Loving You - 4:12
- Man in the Mirror (Glen Ballard/Siedah Garrett) - 5:19
- Thriller (Temperton) - 5:57
- Beat It - 4:18
- The Girl is Mine (akimsh. Paul McCartney) - 3:41
- Remember the Time (Jackson/Teddy Riley/Bernard Belle) - 4:00
- Don't Stop 'til You Get Enough - 6:02
- Wanna Be Startin' Somethin' - 6:02
- Heal the World - 6:24
HIStory Continues (Disc 2)
Nyimbo zote zimetungwa na Michael Jackson, kasoro zile zilizowekwa maelezo;
- Scream (kaimba na Janet Jackson) (Harris/Lewis/Jackson/Jackson/Giancarlo Dittamo) - 4:38
- They Don't Care About Us - 4:44
- Stranger in Moscow - 5:44
- This Time Around (akimsh. The Notorious B.I.G.) (René Moore/Dallas Austin/Bruce Swedien/Jackson/Wallace) - 4:20
- Earth Song - 6:46
- D.S. (akimsh. Slash) - 4:49
- Money - 4:41
- Come Together (Lennon/McCartney) - 4:02
- You Are Not Alone (R. Kelly) - 5:45
- Childhood (Theme from "Free Willy 2") - 4:28
- Tabloid Junkie (Harris/Lewis/Jackson) - 4:32
- 2 Bad (feat. Shaquille O'Neal) (Harris/Lewis/Jackson/O'Neal) - 4:49
- HIStory (Harris/Lewis/Jackson) - 6:37
- Little Susie - 6:13
- Smile (Charlie Chaplin) - 4:56
Marejeo
- George, Nelson (2004). Michael Jackson: The Ultimate Collection. Sony BMG.
Tazama pia
- HIStory World Tour
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu HIStory: Past, Present and Future, Book I kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |