31 Mei

tarehe
Apr - Mei - Jun
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031
Kalenda ya Gregori

Tarehe 31 Mei ni siku ya 151 ya mwaka (ya 152 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 214.

Matukio

Waliozaliwa

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sikukuu ya ziara ya Bikira Maria, lakini pia kumbukumbu za watakatifu Petronila wa Roma, Ermia wa Gumenek, Kansyo na wenzake, Silivi wa Toulouse, Batista Varano, Feliche wa Nicosia, Noe Mawaggali n.k.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 31 Mei kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.