Hifadhi ya Taifa ya Phong Nha-Ke Bang

Phong Nha-Ke Bang ni hifadhi ya taifa ya katika Jimbo la Quang Binh, Vietnam, km 50 kutoka kaskazini mwa mji wa Đồng Hới, km 44 kutoka kaskazini mwa Uwanja wa Ndege wa Dong Hoi, na km 450 kutoka kusini mwa mji wa Hanoi.

Pango la Tiên Sơn la mjini Phong Nha-Ke Bang

Hifadhi ina mapango zaidi ya 300 na mengine madogo yenye urefu wa km 126. Hifadhi pia inaviumbe hai. Mnamo mwezi wa Julai 2003, UNESCO wameingiza hifadhi hii katika moja kati ya sehemu za Urithi wa Dunia.[1][2]Mnamo mwezi wa Aprili katika mwaka wa 2009, mpelelezi wa Kiingereza amegundua kuwa miongoni mwa maeneo yenye mapango makubwa duniani nalo hapa linapatikana.[3]

Marejeo

Viungo vya Nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu: