Jeromu wa Pratis

Jeromu wa Pratis, O. de M. (alifia dini 1431) alikuwa mtawa wa Kanisa Katoliki kutoka Aragona,Hispania ambaye alikwenda Tunisia kukomboa watumwa akauawa kwa mishale kwa ajili ya imani yake.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Desemba.

Tazama pia

Tanbihi

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.