Joji wa Koziba

Joji wa Koziba (alifariki 625 hivi) alikuwa mmonaki kutoka kisiwa cha Kupro, mkaapweke huko Koziba[1] nchini Palestina, aliyekuwa anaishi siku sita kwa wiki amejifungia ndani, ila Dominika alikuwa akisali na wanajumuia wenzake, pamoja na kusikiliza shida zao za kiroho na kuwapa mashauri[2][3].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 8 Januari[4].

Tazama pia

Tanbihi

Vyanzo

  • C. House, ed. "Vita Sancti Georgii Chozebitae Confessoris et Monachii". Analecta Bollandiana 7 (1888): 95–144, 336–359.
  • T. Vivian and A. N. Athanassakis, trans. The Life of Saint George of Choziba and the Miracles of the Most Holy Mother of God at Choziba. San Francisco: International Scholars Publications, 1994.
  • T. Vivian, trans. Journeying Into God. Seven Early Monastic Lives. Minneapolis: Fortress Press, 1996. pp. 71–105.

Marejeo mengine

  • Olster, David. "The Construction of a Byzantine Saint: George of Choziba, Holiness, and the Pilgrimage Trade in Seventh-Century Palestine." Greek Orthodox Theological Review 38.1–4 (1993): 309–322.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.