Jos

Jos ni mji wa jimbo la Plateau nchini Nigeria.

Maporomoko ya maji, Jos
Maporomoko ya maji, Jos

Mwaka 2022 umekadiriwa kuwa na wakazi 816,824[1].

Tazama pia

Marejeo

Makala hii kuhusu maeneo ya Nigeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jos kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.