Juliana wa Norwich

Juliana wa Norwich (Norfolk, 8 Novemba 1342 hivi – Norwich, 1416 hivi[1][2] ) alikuwa Mkristo wa Uingereza aliyeishi kama mkaapweke[3] na kujipatia umaarufu kwa kitabu chake Revelations of Divine Love (1395 hivi), cha kwanza kuandikwa na mwanamke kwa Kiingereza kuhusu teolojia[4][5][6].

Juliana wa Norwich, Langham, Norfolk.

Anaheshimiwa na Waanglikana na Walutheri kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 8 Mei au 13 Mei[7].

Tazama pia

Tanbihi

Matoleo na tafsiri ya kitabu chake

Matoleo:

  • The Writings of Julian of Norwich, ed. Nicholas Watson and Jacqueline Jenkins. Penn State University Press, 2006. (An edition and commentary of both the Short Text and Long Text. The Long Text is here generally based on the Paris manuscript)
  • Denise N. Baker (2005), of the Long Text, based on the Paris manuscript
  • Showing of Love: Extant Texts and Translation, ed. Sister Anna Maria Reynolds, C.P., and Julia Bolton Holloway. Florence: SISMEL Edizioni del Galluzzo, 2001. ISBN 88-8450-095-8. [A “quasi-fascimile” of each version of the Showing of Love in the Westminster, Paris, Sloane and Amherst Manuscripts.]
  • The Shewings of Julian of Norwich, ed. Georgia Crampton. (Kalamazoo, MI: Western Michigan University, 1994). [Of the Long Text, based largely on one of the two Sloane manuscripts.]
  • Colledge, Edmund, and James Walsh, Julian of Norwich: Showings, Pontifical Institute of Mediaeval Studies, 1978. (a fully annotated edition of both the Short Text and Long Text, basing the latter on the Paris manuscript but using alternative readings from the Sloane manuscript when these were judged to be superior)

Tafsiri:

  • Fr. John-Julian, "The Complete Julian of Norwich". Orleans, MA; Paraclete Press, 2009
  • Dutton, Elisabeth. A Revelation of Love (Introduced, Edited & Modernized). Rowman & Littlefield, 2008
  • Showing of Love, Trans. Julia Bolton Holloway. Collegeville: Liturgical Press; London; Darton, Longman and Todd, 2003. [Collates all the extant manuscript texts]
  • Wolters, Clifton, Julian of Norwich: Revelations of Divine Love, (Harmondsworth: Penguin, 1966) (the Long Text, based on the Sloane manuscripts)

Vyanzo

  • Beer, F., Women and Mystical Experience in the Middle Ages, Boydell Press, 1992
  • Crampton, Georgia. The Shewings of Julian of Norwich, Western Michigan University, 1993
  • Hick, John. The Fifth Dimension: An Exploration of the Spiritual Realm, Oxford: One World, 2004
  • McGinn, Bernard. The Varieties of Vernacular Mysticism, New York: Herder & Herder, 2012

Marejeo

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.